Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Antony Blinken amewasili mjini Cairo katika juhudi za kujaribu kupata mwafaka wa kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza. Wachambuzi wa masuala ya kimataifa ...
Spika wa bunge la Ukraine amepokea barua rasimi ya kujiuzulu kutoka kwa Waziri wa mambo ya kigeni wa taifa hilo Dmytro Kuleba. Hatua hii imetajwa kuwa mojawapo wa mipango ya serikali ya Kyiv ...
TSA / S08S 26.08.2024 26 Agosti 2024 Katika matangazo yetu ya asubuhi hivi leo utasikia makala zetu za Mbiu ya Mnyonge, Makala yetu Leo, Mtu na Mazingira, Vijana Tugutuke na Jukwaa la manufaa ...
Dunia imekuwa ikishuhudia Pyongyang mpango wa nyuklia na makombora ya masafa mkubwa kuwahi kushuhudiwa kamwe . Korea Kaskazini pia imekuwa ikikabiliwa na vikwazo . Lakini Korea Kusini inatazamia ...
Swahili ni lugha ya taifa Tanzania, yenye idadi ya watu takriban milioni 59.7 Kuna zaidi ya lugha 100 zinazongumzwa nchini Tanzania lakini kiswahili kinazungumzwa na asilimia 90 ya idadi ya watu ...